
Tunda
hili nalifahamu kwa jina la “bungo”.Bungo linaliwa kwa chumvi na pilipili au na sukari. Kwa mara ya
kwanza nilikunywa juisi ya bungo visiwani Zanzibar. Ni juisi ambayo unaweza
kumaliza lita 2 nzima na bado ukawa unaitamani. Je,jina linguine la bungo ni
nini?
No comments:
Post a Comment