Thursday, 5 March 2015

THE GARDEN: JE,UNAYAFAHAMU MATUNDA HAYA?

   

Haya ni mapera.Nayajua mapera ambayo ndani ni mekundu na ambayo ndani ni meupe. Sijakula matunda haya siku nyingi.

Pera kwa kiingereza ni ”guava”

Je,unajua jina lingine la pera?Unaweza kutushirikisha.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...