Mdalasini ni moja ya kiungo kizuri na muhimu sana kuwa nacho
jikoni kwako. Kiungo hiki kina faida nyingi sana. Zifuatazo ni baadhi tu ya
faida zake:
- Mdalasini ina uwezo wa kupambana na bakteria. Ni nzuri ktk kupambana na maambukizi katika kibofu cha mkojo
- Inashusha shinikizo la damu
- Inapambana na kolesterol mbaya
- Inaimarisha afya ya fizi na meno
- Inapambana na maumivu hasa maumivu ya tumba. Inaondoa tatizo la gesi tumboni.
- Inasaidia kuzalishwa kwa jusi za tumboni zinazosaidia usagwaji wa chakula hivyo kuzuia tatizo la kutokupata choo
- Inasafisha utumbo mpana
- Inaondoa sumu mwilini
- Inasaidia kupunguza uzito hususan mdalasini ukichanganywa na asali
- Inapambana na saratani ya matiti na ya utumbo mpana
- Inaongeza hamu la kufanya mapenzi.Weka Vijiko 2 vikubwa vya mdalasini katika maji moto,changanya na vijiko 3 vya asali
- Inajenga afya ya uzazi kwa mwanaume
- Ina rekebisha/sawazisha homoni na maumivu wakati wa hedhi kwa wanawake
- Inapunguza nafasi ya kupata ujauzito kwa kuweka mzunguko wa hedhi vizuri
- Inaondoa chunusi. Changanya vijiko 3 vya asali na kijiko 1 cha mdalasini,paka kwenye chunusi
No comments:
Post a Comment