Friday 3 April 2015

IJUMAA KUU NJEMA KWENU WOTE






Kwa wale wakristo wote,lro ni siku ya kukumbuka mateso ya Yesu Kristo.Siku hii huongozwa na misa katika makanisa yote.Tutumie siku hii vilevile kuziombea amani familia zetu na taifa letu kwa ujumla.


                       GOOD FRIDAY KWENU WOTE!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...