Sunday, 19 April 2015

TANZIA:MSIBA WA PETER EMMANUEL JOSEPH KWINGWA


Marehemu Peter Emmanuel Kwingwa

Charles Kwingwa wa Stockholm Sweden, anasikitika kutangaza msiba wa mdogo wake, Peter Emmanuel Kwingwa,uliotokea tarehe 16 aprili huko Dar es salaam.Mazishi yatafanyika Kongowe Dar es salaam,  Jumatatu,tarehe 20 aprili.
Mungu ailaze roho ya marehemu Peter Emmanuel mahala pema peponi,amen.



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...