Friday, 22 May 2015

AFYA: FAIDA YA MAFUTA YA NAZI

  • Fatty acids zilizomo katika mafuta ya nazi husaidia  kuimarisha uwezo wa ubongo kwa wagonjwa wa Alzheimer.

  • Mafuta ya nazi yanasaidia kuondoa mafuta mwilini hususan mafuta hatari yaliyo tumboni.Hii huweza kufanyika kwa kuweka mafuta ya nazi katika chakula.

  • Watu wanaokula sana nazi ndiyo watu wenye afya bora duniani.
                                            
Girl Eating Coconut
  • Mafuta ya nazi huongeza matumizi ya nishati mwilini hivyo kusaidia kuchoma mafuta yaliyomo mwilini.
Coconuts
  • Fatty acid katika mafuta ya nazi huweza kuuwa bacteria hatari (Staphylococcus Aureus),virusi na fangasi mwilini na kuzuia maambukizi.

  • Mafuta ya nazihuboresha kiwango cha kolesterol katika damu hivyo kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa moyo.

  • Kupaka mafuta ya nazi  katika nywele hulinda nywele zisiharibike hususan na jua.
Cracked Coconut With Peels
  • Kupaka mafuta ya nazi katika ngozi  hulainisha ngozi.
  • Mafuta ya nazi huweza kutumika kama “mouthwash”.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...