Mwalimu wa shule ya msingi nchini Ghana akiwa mitaani kuuza
matikiti maji wakati wa mapumziko ya mwishoni wa wiki.Ona jinsi anavyoijali
kazi yake,kwani amevaa suti safi na matikiti maji yake ameyaweka kwa kuzingatia
usafi zaidi.Mwalimu ameona fursa na ameamua kuitumia.
Hongera zake maana si wote wanaweza hii.
Hii picha ina mafunzo mengi sana ndani yake,anaye elewa na aelewe!
|
Tuesday, 12 May 2015
KALI YA SIKU!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment