Nimeipenda hii.Inatakiwa tunapotembea tujifunze vitu na baadae
tuvifanyie kazi.Angalia video hii huyu katika pitapita zake katika mitaa ya Bangkok, Thailand aliona jinsi
mtengeneza juisi ya komamanga alivyoweza kutoka mbegu za komamanga kwa urahisi
zaidi.Wengi tumekuwa tukipata taabu ya kutoa mbegu za tunda hili ambapo
tunachafua tu nyumba kwa kutapakaza mbegu kila mahali.Chukua ujuzi huu na
hutachafua tena nyumba
yako!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment