Uzuri wa sectional sofa,unaweza kuweka sofa moja tu sebuleni
kwako na likatosheleza.
Siku hizi kila mtu yupo busy na shughuli zake hivyo mambo ya
wageni 10 kwa mara moja ni aghalabu. Mambo
ya kuweka sofa vipande vingi yamepitwa na wakati wadau!
Nimeipenda sana hii sectional sofa
Hapa mnaweza kukaa watu 6 kwa kujinafasi kabisa
Unaweza kuweka sectional sofa moja na kipande kimoja cha sofa pembeni kama picha inavyoonyesha
No comments:
Post a Comment