Thursday, 21 May 2015

USHAURI WA KUFUATA KABLA YA KUNUNUA MANUKATO(PERFUME)



  Juicy Couture Couture Couture EdP 30ml

Manukato huwa hayakupi harufu halisi muda unapoyapaka.Huleta harufu halisi kulingana na ngozi yako baada ya muda. Unaponunua manukato zingatia muda wa kutumia mfano manukato yenye harufu kali yatumike jioni nayale yenye harufu isiyo kali(citrus) yatumike mchana.
       
ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUNUNUA MANUKATO

  • Manukato huweza kuwa utambulisho wa wewe ni mtu wa aina gani ,hivyo, unapochagua manukato, zingatia ni vipi unataka uonekane.
  • Kuwa na manukato ya aina tofauti kulingana na wapi upo mfano, usipake manukato hayohayo kazini, ukiwa kwenye miadi nk. 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...