Stock ya mbogamboga
Weka 1/2 ya spinachi katika sufuria.Kata kata vitunguu vipande vyembamba vya mviringo pamoja na kitunguu thoumu.Weka nyanya ya kopo
Weka viungo hivi unavyona hapo juu,1/2 kijiko cha chai basilika na 1/2 kijiko oregano, 1/4 kijiko cha chai pilipili mtama
Katika sufuria, mchanganyiko wako utaonekana hivi.Anza kupika ukiwa umefunika
Ikianza kuchemka ,ondoa mfuniko,Wacha ichemke kwa dakika 10-15 ,au mpaka maji yakauke.Koroga kila baada ya muda kuzuia pasta zisigande
Mwonekano wa pasta zilizo tayari kuliwa
Credit toBudgetbytes
No comments:
Post a Comment