
Rais Obama akikagua gwaride

Baadhi ya wakenya waliojitokeza kumlaki rais Obama nchini Kenya

Dada wa Obama aitwaye Auma(mwenye rasta) ,akiwa na furaha

Kaka wa Obama mwenye miwani) akiwa na bibi yake Obama mwenye kilemba cha njano) wakimsikiliza Barack Obama wakati wa dhifa aliyoandaliwa na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Rais Obama aki-toast na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya huku mke wa rais Kenyatta, bibi Margaret Kenyatta kulia akiangalia


Malaika huyu nae alikuwa ni mmoja wa waliojitokeza kuuona msafara wa rais Obama, nchini Kenya,

Rais Obama akiongea na wajasiriamali vijana nchini Kenya
No comments:
Post a Comment