Mimi ni mpenzisana wa viatu.Tunaelekea mwishoni mwa msimu wa baridi hivyo tunaanza kuandaa makabati yetu (wardrobes) na mavazi ya majira ya joto(summer).
Nitawaletea collection yangu ya viatu kwa ajili ya spring/summer.Msimu huu nimependelea sana kuvaa slip-on sneakers zaidi.Collection yangu ya kwanza ni SFCARO ambayo nitaionyesha leo.Kesho nitawaletea collection yangu ya pili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment