Kitanda ni sehemu ambayo wengi tunatumia muda wetu mwingi pale tunapohitaji kupumzika. Kama ni hivyo basi tunaponunua kitanda ni lazima tuangalie kitanda kinachofaa. Kwangu mimi uzuri wa kitanda ni godoro.Ukiwa na godoro linalofaa utatamani kupumzika kitandani kila unapojisikia kufanya hivyo.Godoro kama ni baya hutakitaka kitanda.Kitanda chenye godoro baya hukuletea uchovu na maumivu ya mgongo.
No comments:
Post a Comment