Thursday, 25 April 2013

NINI KIFANYIKE KUWAOKOA WAKULIMA WETU?




Mkulima huwa na furaha mazao yake yakistawi.Hutarajia kuvuna mazao mengi na bora.Furaha hiyo hutoweka baada ya mavuno kwani uhakika wa soko haupo
 

Hawa hapa hawaka uhakika kama watauza bidhaa zao



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...