Thursday, 25 April 2013

MWANAMUZIKI KIDUMU KUFUNGA NDOA NA MPENZI MPYA



Mwanamuziki Nimbona Jean -Pierre ‘Kidumu’anatarajia kumwoa mpenzi wake mpya hivi karibuni.Kidumu ni mwanamuziki mwenye asili ya nchini Burundi lakini anaishi nchi Kenya.
Kidumu ameachana na mkewe ambaye wamebahatika kupata watoto wawili.
Kidumu anatarajia kuoa msichana wa Kikikuyu ambaye kwasasa ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi.
Habari za mtaani ni kuwa ndoa yao inatarajia kufanyika Julai mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...