Baadhi ya Maeneo walimo jeruhiwa wanafunzi hao na Mmoja kupatwa na Mshtuko wa Mlipuko wa Mabaki ya Mabomu hayo kutokana na Tatizo lake la Moyo alilonalo na hivyo kupelekea wanafunzi Watano kulazwa Ilembula Hospitali.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwajulia Hali wanafunzi hao katika Hospitali ya Lutherani ya Ilembula.
Mwanafunzi Evance Joseph[16]kidato cha
Kwanza ambaye alikuwa akifanya Majaribio ya Kuchoma Mabaki hayo ya Bomu
huku Mengine akiyahifadhi kwenye Tranka lake la Nguo.
Wanafunzi wakiwa wanaendelea kufanyiwa
Vipimo vya Mionzi ya Jua kutambua ukubwa wa Tatizo katika Hospitali ya
Ilembula Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe.
No comments:
Post a Comment