Shomary
Kapombe, Juma Kaseja na Zahor Pazi wakipita jukwaani wakiwa ndani ya
suti mpya za Taifa Stars zilizotolewa na wadhamini ambao ni Bia ya Kilimanjaro Premium Lager na
kukabidhiwa katika hafla ya kuwaaga iliyofanyika jana katika Hoteli ya
Hyatt Regency na kuwashirikisha wadau mbalimbali wa michezo.
Wachezaji
wa Taifa Stars wakiwa ndani ya suti mpya za kisasa walizokabidhiwa leo
katika hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment