Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.
Majambazi yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer yamevamia gari ndogo aina ya VITZ na kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya asia na kupora kiasi cha fedha ambacho bado dhamani yake haijafahamika mara moja.Tukio hili llimetokea Sayansi-Kijitonyama jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment