Thursday 23 May 2013

DIAMOND PLATNUMZ: AFUNGUKA NA KUTAJA HIZI SABABU ZA MAFANIKIO YAKE KIMUZIKI

Mengi yamekuwa yakisemwa juu ya msanii ambae inaaminika ndiye mfalme wa muziki wa bongo fleva Wapo wanaosema anatumia nguvu za giza ikiwemo ushirikina na wapo wanaosema yuko powered na Imani ya Free mason.TEENTZ ilipiga story na Diamond na kueleza moja ya sababu kubwa why yuko juu na na kila siku ananendelea kuwa juu tofauti na baadhi ya wanamzki wengine
1-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho".
2-"Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya mhimu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu kitakachoendelea kumantain muziki wangu"


3"-Sibani pesa kwenye swala la kujijenga kimziki,niko tayali nitumie milioni kadhaa kufanya kitu kitakachojenga status yangu vizuri,mfano kugharamikia mavazi ya shows n.k"
4-"Nampenda sana mama angu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"
Hizo ndizo reason chache alizotoa Diamond kuhusu yeye kuendelea kuwa on the pick na ni wazi kabisa ndani ya reason kama hizo ni binadamu wachache sana watakaoshindwa kufanay vizuri ama kupata maendeleo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...