Monday, 27 May 2013

BREAKING NEWZZZ .... TRENI YAUA UKONGA- MOSHI BAR ASUBUHI HII




Muda mfupi auliopita treni imegongana na gari aina ya RAV4 na dereva (mwanaume)amekufa muda huu na abiria(mwanamke) yu mahututi.


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...