Mkono wa mtoto Fikiri Hausi 13 uliounguzwa unavyoonekana |
Mtoto Fikiri Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kuunguzwa Moto na Mama yake.
Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta mama yake Fikiri Hausi
Wadau,haya mambo yanazidi kutokea.Je,sheria zetu ni butu kiasi kwamba watoto wanaendelea kufanyiwa ukatili bila kikomo?Nadhani umefika wakati wa kubadilisha sheria zetu kama hazikidhi adhabu kwa matendo kama haya.
CHANZO:Songea habari
No comments:
Post a Comment