Lady Jay Dee akiwa na mumewe Gardner Habash wakisuburi kesi kutajwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kindondoni leo asubuhi saa tatu.
Mwanamuziki Judith Wambura aka.Lady Jay Dee akiwa katika mahakama ya Kinondoni kama ilivyotakiwa katika mashitaka
aliyofunguliwa hapo. Kesi imetajwa tena tarehe 13 Juni 2013 kama inavyoonekana katika akaunti yake ya tweeter.
No comments:
Post a Comment