Tuesday, 28 May 2013

KUELEKEA SHOW YA JIDE YA TAREHE 31 MAY 2013!!


 Kuelekea tarehe 31 May 2013 ambapo msanii Lady Jaydee ataadhimisha miaka yake 13 kama msanii,rainbow-tz blog inapenda kumpongeza kwani ni dhahiri kuwa haikuwa safari rahisi.Tuonyeshe upendo na mshikamano kwa kuwa nae pamoja ili kufanikisha katika kutimiza ndoto zake. Blog hii imechagua baadhi ya nimbo za Jide katika kuwaburudisha wasomaji wake.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...