Sunday, 19 May 2013

MOVIE ALIYOFANYA MAMA KANUMBA IPO MITAANI


Sinema kwa jina “Without Daddy” ambayo imepata kick kutokana na Mama Kanumba kuwa ndani yake,sasa ipo mitaani. Watu wengi wana hamu kubwa ya kuona uwezo wa mama Kanumba katika sanaa ya uigizaji. Usikose kuikamata kopi yako uangalie jinsi gani mama Kanumba kafanya mambo  ndani ya sinema hii. Kweli alimpa kipaji mwanae au ni vingine?

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...