Hili ni eneo la National moto ukiwaka katikati ya barabara |
Polisi wakilinda barabara ya Iringa - Dodoma ambayo ilitekwa na wamachinga hao na kuchoma matairi barabarani |
Polisi wakianza kufukuza wananchi eneo hilo |
Maeneo ya Makorongoni yakiwa yametanda moshi mzito |
Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa- Dodoma na ile ya mashine tatu |
Watalii wakiogopa kuendelea na safari baada ya kutokea machafuko mjini Iringa |
Abiria na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo |
No comments:
Post a Comment