Friday 3 May 2013

MTOTO AGONGWA NA KUFA PAPO HAPO

Wakazi wa Mwananyamala ujiji maduka matatu kwa mama Zakaria wamekusanyika na kufunga barabara Baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 7 kugongwa na kufa papo hapo.

CHANZO: ITV

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...