Friday 3 May 2013

ZAIDI YA NYUMBA 100 ZIMEZUNGUKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZONYESHA TANGA



Mvua kubwa zilizonyeesha kwa siku tatu mfululizo jijini Tanga zimesababisha nyumba zaidi ya 100 kuzungukwa na maji huku mashimo ya Baadhi ya nyumba hizo yakimwaga vinyesi katika makazi ya watu hatua inayoleta hofu ya mlipuko wa magonjwa.

SOURCE: ITV

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...