Saturday, 18 May 2013

MTOTO ALIYEPIGWA MAPANGA NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA


Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana...
 
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi....
 
Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga. 

Kama haukuona habari hiyo ya kusikitisha, ya kushambuliwa mtoto huyo, iliyotokea juzi usiku.
 
CHANZO: Free bongo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...