Rais Kikwete akisalimiana na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo Sety Moto
Rais Jakaya kikwete wa nne kushoto akiwa na viongozi mbali mbali akiwemo waziri wa ujenzi Dkt John Magufuli wa wa sita na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge na mbunge wa jimbo la Isimani Bw. Wiliam Lukuvi nyuma viongozi wa mahakama na viongozi wa serikali
Hapa ni eneo la Isimani wilaya ya Iringa vijijini ujenzi ukiendelea na hii ni kazi nzuri ya Tanroads mkoa wa Iringa katika usimamizi wa barabara hii itakayofungua fursa kwa mikoa ya kusini itagharimu zaidi ya Tsh bilioni 222 na leo majira ya saa 3 asubuhi itawekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete
CHANZO:matukio daima
No comments:
Post a Comment