Watoto hawa wakiwa wamebeba matofali kwa ujira ili waweze kukidhi mahitaji yao ya shule kama madaftari, n.k kufuatia wazazi wao kutokuwa na uwezo.Je,hii ni sahihi wadau?Jukumu la kulea mtoto ni la mzazi au mtoto mwenyewe?Je,kwa hawa wanaotoa ajira kwa watoto wapo sahihi?Na kama hawapo sahihi je,ni hatua gani zinachukuliwa juu yao?
PICHA : Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment