Tuesday 7 May 2013

RAIS WA ZANZIBAR DKT MOHAMED SHEIN AZINDUA MBIO ZA MWENGE





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mohamed Shein, akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa kwa kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo, (kulia) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Tanzania Bara, Dk.Fenelle Mukangara na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar Mohamed (kushoto).

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...