Mitindo mipya ya saree
Sari ni kitambaa chenye ukubwa kati ya meta 1 hadi 8 ambacho mwanamke hujifunga na kuacha upande mmoja ukining´inia begani.Hata hivyo kuna aina mbalimbali za uvaaji wa sari.
Vazi hili ni maarufu sana India, Bangladeshi, Pakistani, Nepal, Sri Lanka, Bhutan, Burma, Malaysia na Singapore.
Sari huvaliwa juu ya gagulo (petticoat) na blauzi fupi ijulikanayo kama choli.Vazi hili huvutia sana hasa kutokana na uvaliwaji wake na vilevile kutokana na marembo yake.
Kuna karibia aina 80 ya uvaaji wa sari.
Baadhi ya aina ya uvaaji wa sari |
No comments:
Post a Comment