Thursday, 6 June 2013

JINSI NGWEA ALIVYOAGWA MOROGORO LEO KATIKA PICHA





Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea Morogoro


 

Foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro.



Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akimfariji mama yake Ngwea mjini Morogoro leo kabla ya kuelekea uwanja wa Jamhu



Mwili wa Albert Mangwea ukiingizwa katika uwanja wa Jamhuri


Mbunge Sugu akimuaga Ngwea katika uwanja wa Jamhuri Morogoro



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...