Thursday, 6 June 2013

BREAKING NEWS: MOTO WATEKETEZA STEREO BAR KINONDONI MUDA HUU

Moto unaiteketeza Stereo Bar,Kinondoni Studio.Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba gari ya zima moto imefika bila ya kuwa na maji ya kutosha.Stay tuned kwa habari zaidi.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...