Sunday 23 June 2013

MAPOKEZI YA DIAMOND PLATINUMZ ALIPOTUA NCHINI COMORO KATIKA PICHA

Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu aliyeniwezesha mimi na team yangu nzima ya wasafi kusafiri na kufika salama visiwani Comoro,lakin pia siwezi acha kuwashukuru mashabiki wangu wa kweli kwa dua wanazoendelea kuniombea..tulifika Comoro mapema jioni na kupokelewa na umati wa watu waliokuwa an hamu ya kumwona mtoto wa kitanzania nikitua nchini mwao
  hizi ni baadhi ya picha za matukio jinsi wana Comoro walivyonipokea
Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na
 nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi
walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja



Afanyiwa mahojiano
na kituo cha televisheni cha nchini Comoro.

Msanii Diamond Platnumz akiwa
nchini comoro akibarizi mandhari ya nchini humo.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...