Sunday 23 June 2013

Samsung wazindua laptop yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android,na inaweza kugeuka na kuwa tablet







kampuni ya samsung imetambulisha laptop hi mpya (tablet) iitwayo  active q yenye uwezo wa kutumia windows 8 na android operating system,active q ina ukubwa wa screen wa 13.3 inches (33.8cm) yenye high resolution 3200x1800.inauwezo wa ku slide na kuwa tablet au ikakunjuliwa na keyboard ikatumika kama stand ya laptop,samsung bado hawajatangaza kuwa laptop hyo mpya itauzwa bei gani

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...