Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho. Shughuli hiyo imeongozwa na msanii Bushoke pamoja na Kinjeketile Mwiru.
|
Baadhi ya watanzania waishio Afrika Kusini wakitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Albert Mangwea
|
Msanii Bushoke akiwa na moja wapo wa wadu nchini Afrika Kusini wakati wa shughuli ya kumuaga mpendwa wetu Albert Mangwea
|
No comments:
Post a Comment