I
Picha juu zikimwonywsha msanii wa bongo movie Flora Mvungi akiwa katika kitchen party yake.Flora anatarajia kufunga ndoa na msanii wa bongo flave H Baba.Blog ya rainbow-tz inawatakia kila la heri!
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment