Tuesday, 4 June 2013

MMH!KAMA NI KWELI HII KALI!SUPER MEGA STAR DIAMOND PLATZNUM ATOA MUPYA WAKATI WENZAKE WOTE WAPO AIRPORT KUPOKEA MWILI WA NGWAIR YEYE!!.......!!!

 

Popin champagne wit my Family Hapa akiendesha boti la kifahari katika bahari ya hindi jijini Dar es salaam na rafiki zake.Akiendesha gari wakati akielekea katika kuponda bata

MASHABIKI WAMPONDA KATIKA MTANDAO MARA BAADA YA KUPOSTI NA HIKI NDICHO WALICHOANDIKA KATIKA MTANDAO WA FACEBOOK.




Mawazo ya rainbow-tz kuhusu hii post ni kama ifuatavyo:

Mitandao mingi imetoa post hiyo hapo juu inayomhusu msanii wa bongo flava Diamond Platnumz.
Diamond amepost hii picha leo hivyo tusimhukumu moja kwa moja kwani huenda ikawa kuponda raha(kama ilivyoandikwa na mitandao mingine) kulifanyika siku za nyuma,na si leo wakati wasanii wenzake wakisubiri mwili Albert Mangwea uwanja wa ndege.
Kama Diamond alikuwa na wenzake uwanja wa ndege nadhani ni vizuri athibitishe hivyo kumaliza mashambulizi ya maneno makali yalitolewa dhidi yake.



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...