Tuesday, 4 June 2013

MWILI WA ALBERT MANGWAIR WAWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS NYERERE.

Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshiba msalaba wa

 Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa

 ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere.


Profesa Jay na Lamar

Photo: #ngwair #airport

Pichani ni baadhi ya Watanzania wakiusubiria mwili wa marehemu

 Albert mangwair kuwasili uwanja wa kimataifa wa 

Mwl. Julius Nyerere.

Photo: #bananazorro and #media

Mmoja wa marafiki na msanii Mangwair Banana Zorro akihojiwa 

na mwandishi wa habari wakati wakiusubiria mwili wa marehemu huyo.


Wadau wakiwa uwanjani kuupokea mwili

Photo: Friends and fan #ngwair arrival #airport

Baadhi ya mashabiki na wapenzi wa nyimbo za marehemu Albert 

Mangwair wakilia kwa uchungu Airport jijini Dar es salaam baada ya 

mwili wa kipenzi cha watu kuwasili.




Gari maalum likiwa limebeba mwili wa Albert Mangwea





Wananchi wakilisukuma gari



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...