Thursday, 6 June 2013

MVUA ILIYOAMBATANA NA UPEPO LEO HII

DSC05481Mapema leo asubuhi majira ya saa Mbili mvua iliyoambatana na upepo baadhi ya miti ikwa imedondoka katikati ya barabara ya samora jijini Dar es salaam hivyo kuleta kero kwa magari yanayotumia barabara hiyo.

DSC05482

CHANZO: Full shangwe

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...