Fundi mitambo ambae anadaiwa kuwa ni raia wa Afrika ya
kusini akiwa amekaa chini huku akiendelea na shughuli yake katika moja ya
chemba ya nyaya za mawasiliano ambapo alikuwa akiunganisha nyaya hizo karibu
kabisa na kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam.
Fundi mitambo akihojiwa na askari kanzu baada ya kukutwa
akiwa amefunua chemba hiyo ya nyaya za mawasiliano
Askari kanzu huyo alimuamuru kufunika chemba hiyo haraka, na
fundi mitambo huyo alifanya hivyo bila kupinga.
Baadae akapakiwa kwenye difenda la polisi na kwenda nae
kituoni kwa mahojiano zaidi.
CHANZO: Mtaa kwa mtaa
No comments:
Post a Comment