Madereva wa teksi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu. Teksi hizo ni
sehemu ya magari mapya miatano ya kampuni hii ya teksi. Kampuni hii ya teksi
ilianzishwa na raia mmoja wa Somalia aliyekuwa anaishi ugenini lakini kwasasa karejea Somalia.
CHANZO: BBC
No comments:
Post a Comment