Monday, 10 June 2013

UHONDO ULIOKUWEPO KATIKA KILAMANJARO MUSIC AWARDS 2013 KWA WALE AMBAO HAMKUBAHATIKA KUONA LIVE


  Zembwela alinivunjaje mbavu jamani lol!

Zahir Zorro na Hussein Jumbe  na Patricia Hillary walichangamshaje sasa



Ben Pol,Lina na Peter Msechu hawakuwa nyuma katika kunogesha tuzo hizo.



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...