PICHA CHINI: Kids state Dinner ya mwaka 2013
Muaandaji wa health lunch contest,Michelle Obama, akiongea katika hafla ya Kids´´ State Dinner
Rais Barack Obama nae akiongea katika hafla hiyo |
'
|
Michelle Obama akiwa ametokelezea katika kids´ state dinner white House Nadhani programu kama hizi vinaweza kutoa msukumo katika kubadilisha,kuachana au kupunguza mambo yasiyotakiwa katika jamii.Hapa Michelle anatoa msukumo kwa watoto waondokane na kula vyakula vinavyoharibu afya zao na badala yake wale vyakula vilivyotengenezwa kulinda afya zao. Fuatilia hapa kwa kujua mengi kuhusu mpango huu:http://www.letsmove.gov/kids-state-dinner-winners |
No comments:
Post a Comment