Sofa imefanana na aina moja wapo ya pazia na imependeza vilevile |
Si lazima uwe na sofa zinazofanana rangi ili sebule lipendeze.Angalia hapa mpambaji kacheza na rangi ya ukuta na sofa ili kupata mapazia,mapambo(picha) na mito vinavyoshabihiana!
USHAURI: Kila mtu ana rangi zake azipendazo.Unaweza kuweka sofa za rangi upendayo bali zingatia kuwa mvuto zaidi utatokana na mapazia utakayoweka,mito midogo kwenye sofa, mapambo uliyo nayo na rangi ya ukuta.
Kila la heri katika upangiliaji wa nyumba yako!Tembelea hapa kwa kuona upangiliaji wa samani za nyumbani kuanzia jiko,sebule,bustani,chumba cha kulala n.k,na huenda ikakusaidia.
Usisite kuniandikia pale utakapopata wazo litakalokusaidia.Karibuni wooooooooooooote!
No comments:
Post a Comment