Mume wa Marehemu,Mzee Haule akiweka Shada la Maua juu ya Kaburi la Marehemu Mke wake aliezikwa leo kwenye Makaburi ya Kinondoni,Jijini Dar es Salaam.
Mtoto Mkubwa wa Marehemu,Akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joseph Haule a.k.a Profesa J akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Mtoto wa Mwisho wa Marehemu,Alex Haule a.k.a Simple X akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Mama yake.
Simple X akisaidiwa baada ya kukosa nguvu wakati akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Mrs Mwamunyange na Kaka yake wakielekea kuweka shada la Maua kaburini.
Mwanamuziki Lady Jay Dee akiweka Shada la Maua.
Watoto waliolelewa na Mama Rosemary wakiwa ni wenye huzuni kubwa baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yao.
Profesa J akimfariji dada yake.
Marafiki wa Profesa J.
No comments:
Post a Comment