Sunday, 14 July 2013

PICHA YA LEO!

Foto: Hili ni kumbatio la watu kutoka maeneo gani na unaitwaje?
Picha hii ina maana gani kwako?

2 comments:

  1. ningependa vibaka waajiriwe ili waache wizi wao kila kukicha wanazidi kuiba

    ReplyDelete
  2. raisi wa jamuhuri ya muungano wa tanzania ninge omba wote wanao usika na madawa ya kulevya uwape hukumu ya kifo ndio wataacha kuaribu vijana na madawa ya kulevya

    ReplyDelete

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...