Wednesday, 10 July 2013

OBAMA ATEUA MSAIDIZI WAKE BALOZI TANZANIA



Rais wa Marekani, Barack Obama (kushoto) akizungumza na washauri wake waandamizi akiwemo Mark Childress (kulia) ambaye amemteua kuwa balozi mpya wa nchi hiyo hapa nchini. Picha na Ikulu ya Marekani .
KWA UFUPI
Obama amefanya uteuzi huo ikiwa ni wiki moja tangu alipohitimisha ziara yake katika nchi tatu za Bara la Afrika, Tanzania ikiwa mojawapo. Pia alizitembelea Senegal na Afrika Kusini.
CHANZO:Mwananchi

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...